Ingia / Jisajili

Huwezi Kuwatumikia Mabwana Wawili

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 369 | Umetazamwa mara 1,304

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kumbe ni kweli (kumbe ni) kweli kumbe ni kwelix2 (Kwani) mshikambili moja humponyoka huwezi kuwatumikia mabwana wawili (Kwani) x2 Kwenye uchawi upo kwenye uzinzi upo huwezi kuwatumikia mabwana wawili, kwenye uongo upo kwa Mungu pia upo huwezi kuwatumikia mabwana wawili x2 1. Unajiita umeokoka wewe, kwenye uchawi ni wewe kwenye uzinzi ni wewe kwa Mungu pia ni wewe umesimamia wapi 2. Kila kukicha walalamika wewe, michango imekuzidi unatukana kanisa, kwenye harusi watoa mpaka watu wakusifu 3. Umeshakosa pa kusimama wewe kwa shetani unaonja kwa Mungu pia waonja hauwezi kuwatumikia mabwana wawili

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa