Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 566 | Umetazamwa mara 1,929
Download Nota Download MidiEnyi watu wa Sayuni tazameni Bwana anakuja, Bwana anakuja kuwaokoa mataifa x2.
1.Naye Bwana atawasikizisha sauti yake, sauti ya utukufu wake katika furaha ya mioyo yenu.
2.Masikio yako, yatasikia neno nyuma yako likisema, njia ni hii ifuateni.