Ingia / Jisajili

Tiririsha Baraka

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 2,762 | Umetazamwa mara 6,177

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  • 1.Bwana tazama umetuumba ukatuweka duniani, tukupende nikujue tukutumikie shusha baraka, tufike kwako mbinguni.
  • 2.Bwana hakika wewe ni mwema wagawa neema kwa wema na waovu twainua macho yetu kukuelekea shusha Baraka tawala maisha yetu.
  • 3.Bwana itika tukuitapo maombi yetu tukuombapo Mungu wetu yasikie utukirimie tiririsha baraka tuzipokee.

Tiririsha baraka, Tiririsha Baraka Tiririsha Baraka Tiririsha Baraka tuzipokee x2

Hitimisho:

Ohoo Tiririsha Eheee Tiririsha Tiririsha Baraka tuzipokee Tiririsha Tiririsha Baraka tuzipokee Tiririsha Tiririsha Tiririsha Tiririsha Tiririsha Tiririsha Tiririsha Tiririsha Tiririsha Tiririsha Tiririsha kwenye Jumuiya zetu. Tiririsha Tiririsha kwenye Familia Tiririsha Tiririsha kwenye kazi zetu Tiririsha Tiririsha Utume wetu Tiririsha Tiririsha kwenye kwaya zetu Tiririsha Tiririsha Yatima wafungwa na wajane Tiririsha Tiririsha Wagonjwa Tiririsha Vilema Tiririsha Wakulima Tiririsha Wanafunzi Shuleni Tiririsha Bwana Baraka.



Maoni - Toa Maoni

Fabrice Dec 14, 2024
Vizuri sana

Toa Maoni yako hapa