Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 386 | Umetazamwa mara 1,551
Download NotaNi pendo gani, la ajabuYesu katualika mezani kula mwili na kunywa damu yake. x2 Jongeeni (nyote) wenye mioyo safi, wateule (wote) mlioalikwa mezani ya upendo na uzima wa milele x2.