Mtunzi: Félix Fémka
> Mfahamu Zaidi Félix Fémka
> Tazama Nyimbo nyingine za Félix Fémka
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Félix Femka
Umepakuliwa mara 807 | Umetazamwa mara 2,216
Download NotaIkupendeze ee Bwana sadaka hii ya moyo wangu ikupendeze sadaka ya unyonge wangu (2X)
Naitoa sadaka hii chini ya msalaba wako, damu na maji yaliyodondoka ubavuni mwako pale juu ya msalaba yanioshe dhambi zangu (2X)
1. Naitoa sadaka ya unyonge wangu kwako ee bwana.
2. Mimi ni maskini na mhitaji unitakase.
3. Ijapo ni kidago ee Mungu wangu ikupendeze.