Ingia / Jisajili

INGEKUWA HERI LEO

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 796 | Umetazamwa mara 2,117

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
INGEKUWA HERI LEO Kiitikio: Ingekuwa heri leo tusikie sauti yake, tusifanye migumu mioyo, mioyo yetu, tusifanye migumu mioyo yetu. 1. Njoni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu, tuje mbele yake kwa shukrani tumfanyie shangwe kwa zaburi. 2.Njoni tuabudu tusujudu tupige makofi mbele zake Bwana wetu, aliyetuumba,ndiye Mungu nasi tu watu wa malisho yake. 3. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake, msifanye migumu mioyo kama siku ile, baba zenu walinipima nikawaonyesha.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa