Ingia / Jisajili

MIISHO YOTE YA DUNIA IMEUONA WOKOVU WA MUNGU WETU Zaburi 98

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Noeli | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 913 | Umetazamwa mara 2,089

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Miisho yote ya dunia, imeuona wokovu wa Mungu wetu. 1.Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maana ametenda mambo ya ajabu. Mkono wa kuume wake mwenyewe, mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu. 2.Bwana ameufunua wokovu wake, machoni pa mataifa amedhihirisha haki yake. Amezikumbuka rehema zake, na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli. 3.Miisho yote ya dunia imeuona, wokovu wa Mungu wetu. Mshangilieni Bwana nchi yote, inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi. 4.Mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi, kwa kinubi na sauti ya zaburi. Kwa panda na sauti ya baragumu, shangilieni mbele za Mfalme, Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa