Ingia / Jisajili

Iweni Waaminifu

Mtunzi: Alvin Marie
> Mfahamu Zaidi Alvin Marie
> Tazama Nyimbo nyingine za Alvin Marie

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alvin Marie

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 26

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Iweni waaminifu ninyi, iweni waaminifu katika madogo, naye bwana wa mbinguni atawazidishieni x2 Kipimo cha kujaa na cha kushindiliwa ndicho mtakirimiwa ninyi mkiwa waaminifu x2 1. Vitu vyote tulivyo navyo ni mali ya Mungu, ulimwengu navyo vilivyomo vyote ni mali ya Mungu 2. Mungu ametulirimia na kutupa bure, yatupasa kuvitoa bure kwao wanaohitaji

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa