Ingia / Jisajili

Nakwenda Kwa Baba Kuwa Tayarishieni Makao Ya Mbinguni

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 25 | Umetazamwa mara 64

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NAKWENDA KWA BABA (na kwenda)NA KWENDA KWA BABA NA KWENDA KUWA TAYARISHIENI MAKAO YA MBINGUNI NITARUDI TENA NIWAKARIBISHE KWANGU.ILI NILIPO MIMI NAYI MUWEPO X2 (1).Msifadhaike mioyoni mwenu.mna mwamini Mungu.niaminini na Mimi. (2)Nyumbani mwa Baba yangu mna makao .mengi .Kama sivyo ninge wa ambia (3) Na kwenda KWA Baba Mimi Kuwa andalieni ninyi makao ya Mbinguni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa