Ingia / Jisajili

Kaburi Li Wazi

Mtunzi: Obuya Joseph Ochieng
> Mfahamu Zaidi Obuya Joseph Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Obuya Joseph Ochieng

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: OBUYA JOSEPH

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 11

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KABURI LI WAZI

  1. Kashinda kifo Yesu amefufuka, ni shangwe leo, Yesu krtistu ameshinda mauti.

Amefufuka bwana amefufuka leo

amefufuka Bwana a mefufuka leo

Kaburi li wazi sote tuimbe aleluya ni mzima

  1. Ameyashinda kifo pia mauti, amefufuka yu mzima na ameshinda kifo
  2. Ni utukufu duniani na mbinguni, amani kwao wateule wake alo'wapenda

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa