Ingia / Jisajili

YESU KRISTU KAZALIWA

Mtunzi: Obuya Joseph Ochieng
> Mfahamu Zaidi Obuya Joseph Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Obuya Joseph Ochieng

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: OBUYA JOSEPH

Umepakuliwa mara 274 | Umetazamwa mara 929

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
YESU KRISTU KAZALIWA 1. Malaika wote wa mbinguni wanaimba kwa furaha Utukufu juu mbinguni Yesu Ksirtu kazaliwa Gloria in exscelsis Deo , gloria in excelsis deo Glory glory to the highest - Yesu kristu Kazaliwa. 2. Mamajusi toka mashariki walikuja kumwabudu walileta na zawadi - Yesu kristu kazaliwa 3. Wachungaji waliona Nyota kakaenda Bethlehemu , wakampata horini - Yesu Ksrist kazaliwa 4. Ni furaha kubwa kwetu, Mkombozi kazaliwa, twendeni tukamwabudu, Yesu kristu kazaliwa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa