Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 460 | Umetazamwa mara 2,027
Download Nota Download MidiLeo kafufuka Mwokozi, ameyashinda ma u-ti hakika yu mzima X2
Tufurahie so-te Aleluya Aleluya.
01. Utukufu wake pia ukuu una yeye Bwana mi-lele mi-le-le.
02. Ameshinda kifo kweli- kweli mauti hayatutawali te---na.
03. Mungu ametuchagua so-te tuwe watakatifu- Alelu---ya.