Ingia / Jisajili

Kama Moshi Wa Ubani

Mtunzi: Haule Alfonce Innocent
> Tazama Nyimbo nyingine za Haule Alfonce Innocent

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alfonce Haule

Umepakuliwa mara 255 | Umetazamwa mara 479

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Kama moshi wa ubani, unavyopaa Altareni, nayo sala yangu ipae mbele zako Bwana. X 2 Ipokee sala yangu, pokea maombi yangu, Viwe kwako harufu nzuri kama ya Ubani X 2 MABETI: 1. Sadaka yangu ninaileta mbele ya usi wako, ipokee kama moshi, moshi wa ubani. 2. Nakuletea pia vipaji mazao ya mashambani, vipokee Mungu wetu vikakupendeze 3. Maisha yangu, matendo yangu nayaweka mbele yako, ukaniongoze wewe kwenye kweli yako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa