Mtunzi: Haule Alfonce Innocent
> Tazama Nyimbo nyingine za Haule Alfonce Innocent
Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi
Umepakiwa na: Alfonce Haule
Umepakuliwa mara 1,024 | Umetazamwa mara 3,519
Download Nota Download MidiKiitikio: Hii ndiyo siku, aliyoifanya Bwana, Tutashangilia na kufurahia. X 2 Tutafurahia, tutashangilia, tutafurahia na kushangilia. X2
Mabeti:
1.(Sauti ya I & II) Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele. Israeli aseme sasa ya kwamba fadhili zake ni za milele.
2. (Sauti ya I & II) Mkono wa kuume wa Bwana umetukuzwa, Mkono wa kuume wa Bwana hutenda makuu. Sitakufa bali nitaishi, nami nitasimulia matendo yake.
3 (Sauti ya III & IV) Jiwe walokataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni, Neno hili latoka kwa Bwana, nalo nila ajabu machoni petu