Ingia / Jisajili

Bwana Kama Wewe

Mtunzi: Haule Alfonce Innocent
> Tazama Nyimbo nyingine za Haule Alfonce Innocent

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Alfonce Haule

Umepakuliwa mara 751 | Umetazamwa mara 2,162

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

Ee Bwana, Ee Bwana, Ee Bwana Ee Bwana, kama wewe ungehesabu maovu yetu, (Ni nani angesimama, ni nani angesima, angesimama mbele yako) X2

1. Lakini kwako kuna msamaha, Ee Mungu wa Israeli.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa