Ingia / Jisajili

Kama Watoto Wachanga (Mwanzo J2 2B Ya Pasaka)

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 7,586 | Umetazamwa mara 15,175

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kama watoto watoto wachanga waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa maziwa ya akili yasiyoghoshiwa.
Ili kwa hayo, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu aleluya x 2

  1. Pokeeni furaha ya utukufu, mshukuruni Mungu aliyewaita kwa Ufalme wake wa Mbinguni, Aleluya Aleluya

  2. Atukuzwe Baba atukuzwe Mwana Atukuzwe Roho Mtakatifu, kama mwanzo sasa na milele Aleluya, Aleluya

Maoni - Toa Maoni

Astery Ngapasa Hyera Apr 19, 2017
Asanteni nyote mliofikia na kuwa na wazo la kuwa na uwanja kama huu, juhudi zenu zimeturahisishia sana katika upataji wa nyimbo na kujifunza mambo mengi sana hasa katika taaluma ya muziki. Ombi langu kweni ni moja tu, tunaomba nyimbo za dominika na matukio mengine zitufikie kwa wakati ili tuweze kufanya maandalizi mapema.

Toa Maoni yako hapa