Ingia / Jisajili

Aleluya Mt. Matilda

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,503 | Umetazamwa mara 10,085

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BERNARD MUKASA.

Aleluya aleluya aleluya aleluya, Aleluya aleluya (Aleluya)

(Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya x 2)

1.   Siwaiti tena watumwa kwa maana mtumwa hajui, hajui atendalo Bwana wake, atendalo Bwana wake

2.   Lakini ninyi nimewaita rafiki kwakuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu, nimewaarifu, Aleluya.


Maoni - Toa Maoni

Mitao Renatus Apr 17, 2021
Barikiwa Sana Kaka Mukasa Hii Aleluya huwa inanibariki mno hakika

John Thuita Jul 08, 2019
Nazipeda sana

Toa Maoni yako hapa