Mtunzi: John Mlewa
> Mfahamu Zaidi John Mlewa
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mlewa
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: John Mlewa
Umepakuliwa mara 1,841 | Umetazamwa mara 6,984
Download Nota Download MidiSALA YANGU
By. John Mlewa
St. Monica Choir_Sinza Parish
Tel. +255 756 39 33 35
Kiitikio
Sala yangu ipae mbele yako, Ee Bwana na ipae mbele yako,
Sala yangu na ipae mbele yako Bwana, na ipae kwako kama moshi wa ubani, Ee Bwana pokea sadaka yangu//:
Mashairi:
1. Hii ni sadaka yangu ya kukushukuru, nakuomba Ee Baba Mungu ipokee
2. Ikupendeze sadaka ya Ibada hii, nakuomba Ee Baba Mungu ibariki.
3. Itakase Bwana kwa Ibada hii safi, iwe kama sadaka ile ya Abeli.