Mtunzi: John Mlewa
> Mfahamu Zaidi John Mlewa
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mlewa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: John Mlewa
Umepakuliwa mara 795 | Umetazamwa mara 2,715
Download Nota Download MidiMJI MTAKATIFU
John Mlewa
Tel. +255 756 39 33 35
Kiitikio:
Nami nikauona mji ule Mtakatifu, Yerusalemu mpya ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu://
Mashairi:
1. Umewekwa tayari kama bibi harusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe, aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.
2. Tazama maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.