Ingia / Jisajili

Karamu Ya Bwana Yesu

Mtunzi: Ray Ufunguo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ray Ufunguo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: David Mwigani

Umepakuliwa mara 12,500 | Umetazamwa mara 14,492

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

John Titus Feb 11, 2023
Ni tamu na uleta Mungu karibu nami

BENE CIGWERHE METRE Jan 26, 2023
Bonjour et félicitations Monsieur pour tes compositions. Je les aime toutes, elles sont profonde en texte comme en mélodies. NAKUKARINISAHA YESU WANGU, très bonne. Je viens de suivre une autre cette fois sur le mariage"WEWE NI WANGU" mais pas de partition. Nisaidiye kupata nota ya iyi wimbo. God bless you

Giles Bihume Jan 15, 2023
Kwa hakika huu wimbo unanibariki sana pamoja na nyimbo zako nyingine hongera sana kwa kazi ya Bwana

Alice Katunzi Nov 28, 2022
Napenda Sana nyimbo zako ilaaa kuna wimbo nimeutafuta kweliii sijaupata naomba tuuuu unisaidie wameimba wanafunzi wa Nairobi unaimbwa hivi " Huyu ni mfupa ni mfupa katika mifupa yangu na tena ni nyama ni nyama katika nyama yangu" jamani huu wimbo unaitwaje

Julius May 19, 2022
Hongera sana mkuu. Utunzi mtamu, ujumbe kamilifu. Shukran

Lucyann Feb 23, 2022
Wimbo mtamu naomba midi yake

Owen chesam katale Feb 21, 2022
Mtaaalam hyu nimemnyoshea mikonoo wimbo mtamu unashawishi wari kwenda kuungama ukiusikiliza kwa makini wimbo mzuri namfatilia sanaa huyu mwambaa

Steve kichia Jan 29, 2022
Wimbo mtamu Sana. Tafadhali naomba midi file. Please please.

Furaha joachimu Nov 28, 2021
Nakupongeza Sana mkuu,Naomba unitumie nyimbo za krismasi

Toa Maoni yako hapa