Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Furaha Mbughi
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiKARAMU YA VINONO
Karamu ya vinono, karamu ya vinono sasa itayari, twende tukashiriki x2.
Chakula safi chenye uzima wetu, karibu kwenye karamu ya vinono x2.
1. Chakula tukilacho ni mwili wake Yesu, ametuandalia chakula cha uzima twende tukashiriki.
2. Wenye mioyo safi tumealikwa twende, ametuandalia chakula cha uzima twende tukashiriki.
3. Ni pendo la ajabu alilotupa Baba, ametuandalia chakula cha uzima twende tukashiriki.