Mtunzi: Joseph Nyarobi
> Mfahamu Zaidi Joseph Nyarobi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyarobi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Joseph Nyarobi
Umepakuliwa mara 400 | Umetazamwa mara 1,592
Download Nota Download MidiKaribu Yesu Mwokozi wangu, njoo, nilishe ninyweshe, nipate uzima
Kiitikio
YESU karibu moyoni mwangu (karibu) njoo, mwili wako ni chakula cha uzima YESU karibu moyoni mwangu (karibu) njoo, damu yako ni kinywaji cha uzima
1. Roho yangu yakutamani Yesu wangu, njoo ukae kwangu nami nikae nawe, yesu njoo, njoo moyoni mwangu