Mtunzi: Joseph Nyarobi
> Mfahamu Zaidi Joseph Nyarobi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyarobi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Joseph Nyarobi
Umepakuliwa mara 573 | Umetazamwa mara 2,328
Download Nota Download Midi\\Zitafakarini njia zenu anasema Bwana, asema Bwana wa majeshi, nasi waamini tusikie neno lake. Bwana wa majeshi atuita tuijenge nyumba, hekalu lake takatifu, njoni waamini sikieni neno lake
Pandeni milimani mkalete miti, mkaijenge nyumba yangu nami nitafurai pandeni milimani mkalete miti, mkaijenge nyumba yangu nami nitatukuzwa//
1. mwaiona nyumba yangu haijakamilika, nijengeeni nyumba yangu nitawabariki
2. mtoavyo kwenye sherehe nitoleeni vivyohivyo, nami nitawatendeeni matendo mkakuu
3. jitolee mali zako jitolee nguvu zako, mifugo nayo mazao mimi nitapokea