Mtunzi: Joseph Nyarobi
> Mfahamu Zaidi Joseph Nyarobi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyarobi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Joseph Nyarobi
Umepakuliwa mara 336 | Umetazamwa mara 1,716
Download Nota Download Midi/Njoo kwangu Yesu, unipe uzima, nilishe uninyweshe mwili na damu yako
Yesu njoo kaa nami nipate uzima, unipe uzima uzima wa milele\ X2
BETI
1. Heri wenye huzuni, hao watafarijika, heri wenye njaa na kiu ya haki, maana hao watashibishwa
2. Heri wenye rehema maana watapata rehema, heri wenye moyo wenye moyo safii, maana hao watamwona Mungu
3. Mimi ndimi mkate mkate wa uzima, yeye ajaye kwangu hataona njaa ,naye aniaminiye hataona kiu kamwe.
4. Mimi ndimi mchungaji ,mchungaji mwema, nawajua kondoo kondoo wangu, nao wanijua wanijua mimi