Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Zaburi
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 635 | Umetazamwa mara 2,535
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka B
Bwana ni Mfalmle, Bwa-na ni Mfalme ameji-vika ta-ji X2
1. Bwana ametamalaki amejivika adhama, Bwana amejivika na kujikaza nguvu.
2. Naan u-li-mwengu umethibitika usitikisike, kiti chako kimekuwa thabiti tokea zamani, wewe ndiwe uliye ta-ngu milele.
3. Shuhuda zako ni ami-ni sana, utakatifu ndio uifaao nyumba yako, Ee Bwana milele na milele.