Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 421 | Umetazamwa mara 1,737
Download Nota Download MidiKishindo cha sikika kote Duniani, Kishindo kinaitetemesha Dunia. Kishindo, Kishindo, Kishindo Kishindo. {Kishindo cha Shetani cha sikika Duniani kinazua hofu kilio mashaka na mgawanyiko kote Duniani x2}
1.Makanisani Kishindo kishindo manabii wauongo, kishindo kishindo, wanalitumia kanisa kuficha uovu wao kishindo kitawaangusha.
2.Familia zetu kishindo kishindo kelele kila kukicha, kishindo kishindo uaminifu na upendo haupo, umetoweka kishindo kitawamusha.
3.Jamii zetu kishindo, kishindo amani imetoweka, kishindo kishindo uchawi wizi na uongo na rushwa na mauaji kishindo kitawaangusha.
4.(Kishindo kishindo) kishindo cha Shetani (kishindo kishindo) kishindo cha shetani (kwenye kwaya Kishindo) kishindo cha shetani (majivuno na maseng'enyo) kishindo cha shetani (Vipaji tumepewa bure nasi tuvitoe bure, Sauti nzuri ili tumuimbie Mungu wetu, hakika mkinyamaza mawe yatamuimbia Mungu)