Ingia / Jisajili

Ee Bwana usikie kwa sauti

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 1,574 | Umetazamwa mara 4,083

Download Nota
Maneno ya wimbo

Ee Bwana usikie kwa sauti yangu ninalia, (umekuwa msaada wangu ee Bwana usinitupe, wala usiniache Mungu wa wokovu wangu x2).

  • 1.Baba yangu na mama yangu wameniacha, bali Bwana atanikaribisha kwake.
  • 2.Usijiepushe na Mtumishi wako kwa hasira, umekuwa msaada wangu usinitupe wala usiniache Ee Mungu wa     wokovu wangu.
  • 3.Moyo wangu umekuambia Bwana, uso wako nitautafuta usinifiche uso wako.
  • 4.Ee Bwana usikie kwa sauti yangu ninalia, unifadhili unijibu.

Maoni - Toa Maoni

Ferdinand Moriasi Oct 18, 2019
Kazi nzuri..Mungu akukirimie baraka kwenye utumwa wako

Toa Maoni yako hapa