Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Valentine Ndege
Umepakuliwa mara 1,395 | Umetazamwa mara 3,154
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka C
Ee Mungu uniokoe Bwana, njoo Bwana unisaidie hima X2
1. Ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu, ee Bwana Bwana wangu usikawie.
2. Nami maskini Bwana pia mhitaji, ee Mungu wangu nijilie haraka.
3. Waaibike pia na wafedheheke, wanaoitafuta nafsi yangu.
4. Wapendezwao Bwana na shari yangu, warudi nyuma iwe aibu yao.