Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 739 | Umetazamwa mara 2,930
Download Nota(Tukifika mbinguni mbinguni mbinguni) tutasalimiana na malaika mbinguni x2. tutacheza cheza cheza cheza (tutaruka ruka tukicheza tena kwa furaha) tukikumbatiana na malaika wa mbinguni x2.