Mtunzi: Justin Mbai
> Mfahamu Zaidi Justin Mbai
> Tazama Nyimbo nyingine za Justin Mbai
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Zaburi
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 451 | Umetazamwa mara 1,464
Download Nota Download MidiKiitikio
Kondoo wangu waisikia sauti yangu asema Bwana, (nami) nami nawajua nao hunifuata x2
Maimbilizi
1. Nami nawapa uzima wa milele, wala hawatapotea kamwe, wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu
2. Baba yangu alinipa haya yote, ni mkuu kuliko wote, wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wa Baba yangu