Mtunzi: Justin Mbai
> Mfahamu Zaidi Justin Mbai
> Tazama Nyimbo nyingine za Justin Mbai
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 425 | Umetazamwa mara 1,202
Download Nota Download MidiKiitikio
Tumshukuru Mungu kutufikisha mwaka mpya, ni baraka zake na neema zake x2
Mashairi
1. (Ametujalia uhai, ametukinga na ajali, amatujalia baraka zipitazo uwezo wetu) ni baraka zake na neema zake
2. (Ametupatia mapato kila mtu kwa pato lako, ametupatia watoto watoto wanaoendeza) ni baraka zake na neema zake