Mtunzi: Justin Mbai
> Mfahamu Zaidi Justin Mbai
> Tazama Nyimbo nyingine za Justin Mbai
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 567 | Umetazamwa mara 1,558
Download Nota Download MidiKiitikio
Nyenyeekeni mbele za Mungu mkitoa shida zenu, mkisali na kuomba kwani yeye ni Mungu mkuu,tena mweza wa yote x2
Mshairi
1. Nyenyekeeni kwa Mungu mkuu, pelekeni shida zenu, mkisali, mkiomba na kushukuru, Asema Bwana
2. Shida zenu na matatizo yenu, mwambieni Mungu wenu, Mkifunga mkiomba na kushukuru, Asema Bwana
3. Kwani yeye ndiye mtukufu, muombeni Mungu wenu, mkifunga, na kuomba na kushukuru, Asema Bwana
4. Hakika Mungu ndiye mwenye enzi, anajua shida zenu, mwamini, ndiye mwema mwenye rehema, anaweza yote