Ingia / Jisajili

Kuimba ni Karama

Mtunzi: Justin Mbai
> Mfahamu Zaidi Justin Mbai
> Tazama Nyimbo nyingine za Justin Mbai

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 476 | Umetazamwa mara 1,622

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Kuimba ni karama tena ni kubwa mno x2 Mungu (wangu) amenipatia mimi kwa upendo

Maimbilizi

1.Amenipa kipaji hiki cha uimbaji, ili nimtumikiekwa kumsifu yeye.

2.Ninafurahi sana kuwa muimbaji, niimbapo vizuri nasali mara mbili

3.Ninashangaa sana tunapolumbana, wakati ni kipaji kutoka kwa Mungu

4.Tunaomba upendo udumu kati yetu, Mungu ametuagiza tumsifu yeye.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa