Ingia / Jisajili

Kristo Alijinyenyekeza

Mtunzi: Charles Saasita
> Mfahamu Zaidi Charles Saasita
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles Saasita

Makundi Nyimbo: Juma Kuu

Umepakiwa na: charles saasita

Umepakuliwa mara 1,637 | Umetazamwa mara 3,438

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya Matawi

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kristo alijinyenyekeza, akawa mtii hata mauti (hata mauti); naam, mauti ya msalaba.

1. Kwa hiyo tena, Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia jina lile lipitalo kila jina.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa