Ingia / Jisajili

Njoni Tuabudu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 2,916 | Umetazamwa mara 4,114

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 5 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Njoni njoni njooni tuabudu tusujudu tupige magoti tupige magoti mbele za bwana aliyetuumba (kwa maana ndiye Mungu wetu kwa maana ndiye Mungu wetu na sisi tu watu wa malisho yake na kondoo za mkono wake) X2

1. Njoni tumwimbie Bwana tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu tuje mbele zake kwa shukrani tumfanyie shangwe tumfanyie shangwe shangwe kwa zaburi

2. Kwa kuwa Bwana ni Mungu mkuu na Mfalme mkuu kwa miungu yote mkononi mwake zimo bonde za dunia hata vilele vya milima hata vilima ni vyake vilele vya milima ni vyake

Maoni - Toa Maoni

Dennis Keneth Babuya Jan 29, 2023
Ni maoni yangu au ombi langu huu wimbo ingekuwepo na copy ambayo haijafanyiwa accompany. Asante

Toa Maoni yako hapa