Ingia / Jisajili

Lakini Sisi

Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 206 | Umetazamwa mara 220

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Alhamisi Kuu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Lakini sisi yatupasa kuona fahari juu ya msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo yeye ndiye wokovu uzima na ufufuko wetu nasi tumekombolewa na kusalimishwa naye

1. Mungu wetu atufadhili na kutubariki na kutuangazia uso wake

2. Njia yake ijulikane duniani wokovu wake katikati ya mataifa yote

3. Mungu atubariki sisi miisho yote ya dunia itamcha yeye

Maoni - Toa Maoni

Joseph john Mar 21, 2024
Nakubalii

Toa Maoni yako hapa