Ingia / Jisajili

Twende Pangoni

Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Gerald Mussa

Umepakuliwa mara 1,226 | Umetazamwa mara 2,973

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Twendeni Pangoni leo tukamwone mtoto Yesu,Twendeni Pangoni leo tukamwone mtoto Yesu,x2

Anameremeta,anameremete,anameremeta,anameremeta,anameremeta mtoto Yesu anameremeta.x2

Mashairi:

  1. Mamajusi walipoiona, kuiona nyota mashariki walijikusanyia zawadi kuelekea kule horini.
  2. Tuzipeleke zawadi zetu ziwe kama shukurani zetu, ni zawadi za unyonge wetu kwako ewe mtoto Yesu.
  3. Hongera ewe Mama Maria kwakutuletea mkombozi, mkombozi wa Roho zetu, tufurahi na kushangilia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa