Ingia / Jisajili

Nitakipokea Kikombe

Mtunzi: Emmanuel J. Kafumu
> Mfahamu Zaidi Emmanuel J. Kafumu
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel J. Kafumu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Miito

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 1,589 | Umetazamwa mara 4,851

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nitakipokea kikombe, kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana x 2

  1. Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake alionitendea nitakipokea kikombe cha wokofu na kulitangaza jina la Bwana.
     
  2. Ina thamani machoni pa Bwana mauti ya wacha Mungu wake, Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako, umevifungua vifungo vyangu.
     
  3. Nitakutolea dhabihu, dhabihu ya kushukuru na kulitangaza jina la Bwana, mbele ya wawtu wake wote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa