Mtunzi: Obuya Joseph Ochieng
> Mfahamu Zaidi Obuya Joseph Ochieng
> Tazama Nyimbo nyingine za Obuya Joseph Ochieng
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: OBUYA JOSEPH
Umepakuliwa mara 224 | Umetazamwa mara 1,248
Download Nota Download MidiNAJISIFIA UDHAIFU WANGU
Ninajisifia, U dhaifu wangu, ili uweza wa kristu ukae juu yangu, kwa maana ninapi kuwa dhaifu ndipo lilipo kuwa na nguvu
1. Sina budi kujisifia japo kuwa haipendezi
Lakini najizuia nisihesabiwe hatia
( Bali ninasema Ukweli juu ya maono nilopewa)
2. Sababu ya mafunuo hayo napewa mwiba mwilini
Nikamsihi Mungu wangu jambo hili liniepuke
( Naye akaniiambia, neema yake inatosha)
3. Napendezwa na udhaifu, dharau tabu na mateso
Nakuya vumilia yoye haya kwa ajili ya kristu
(Kwani uweza wake Mungu,hutimia kwa udhaifu)