Ingia / Jisajili

Macho Yetu Humuelekea

Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: lucas mlingi

Umepakuliwa mara 524 | Umetazamwa mara 1,693

Download Nota
Maneno ya wimbo

KIITIKIO; Macho yetu humuelekea Bwana Mungu wetu hata atakapoturehemu hata ataturehemu hata atakapoturehemu.

1. Nimekuinulia maacho yangu wewe uketiye juu Mbinguni

2. Kama macho ya Mjakazi kwa mkono wa Bibi yake macho yetu humuelekea Bwana Mungu wetu hata atakapoturehemu.

3. Uturehemu Bwana uturehemu sisi kwa maana tumeshiba dharau, nafsi zetu zimeshiba mzaha wa wenye kiburi na dharau ya wenye kiburi.

By lucasmlingi@yahoo.com +255 754 974 978


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa