Ingia / Jisajili

Mama Theresa Tuombee (Theresa wa Calcutta)

Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu

Umepakiwa na: Albert Maneno

Umepakuliwa mara 243 | Umetazamwa mara 1,836

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ni shangwe nderemo na vifijo; Tunapoadhimisha siku hii kwa heshima ya Mama Theresa, Mtakatifu tuliye ishi naye. Utuombee Mama, Mama Theresa twaomba ili nasi tuishi utakatifu.

Maoni - Toa Maoni

Gabriel Nicodemus Aug 22, 2024
Upo vizuri nimeupenda

Toa Maoni yako hapa