Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 1,883 | Umetazamwa mara 6,393
Download Nota Download MidiKiit; Chakula cha Bwana Yesu (Kristo) sasa kiko tayari (Njooni)kimeandaliwa,
Tuijongee karamu (yake) karamu ya upendo ( Yesu) anatualika.
mkate (mwili halisi wa Yesu) na damu (damu halisi ya Yesu) kaa mwangu
daima shinda moyoni mwangu(kweli) Bwana Yesu.
1. Hiki ni chakula kilichoshuka toka Mbinguni
2. Hiki ni kinywaji damu ya Yesu toka Mbinguni
3. Karibuni mezani kwa Bwana Yesu tumpokee.