Ingia / Jisajili

Maneno Yako Ee Bwana (Zaburi 19)

Mtunzi: Felix Mulei M
> Mfahamu Zaidi Felix Mulei M
> Tazama Nyimbo nyingine za Felix Mulei M

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Felix Muley

Umepakuliwa mara 292 | Umetazamwa mara 849

Download Nota
Maneno ya wimbo
Maneno yako ee Bwana ni Roho, maneno yako ee Bwana pia ni uzima. 1. Sheria ya Bwana ni kamilifu, yaituutuliza moyo. Maagizo ya Bwana ni imara, yamletea mjinga hekima. 2. Amri za Bwana ni haki, zaufurahisha moyo. agizo la Bwana ni safi, layatia macho mwangaza. 3. Uchaji wa Bwana ni safi, hudumu hata milele. Hukumu za Bwana ni kweli, zote ni za haki kamili. 4. Maneno ya kinywa changu yakupendeze wewe, nayo mawazo ya moyo wangu, yaliyo mbele yako ee Bwana, Mwamba wangu na mkombozi wangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa