Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria
Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS
Umepakuliwa mara 319 | Umetazamwa mara 1,665
Download Nota Download MidiKiitikio:
Vizazi vyote vitakwita Mwenye heri, Vizazi vyote vikwite Mbarikiwa, Vizazi vikueshimu ×2
Jamii:
1(a). Moyo wangu wamtukuza Bwana, Roho yangu ina mfulahia.
1(b). Kwa kuwa amemwangalia mtumishi wake, Vizazi vyote vitanita Mwenye heri.
2(a). Kwa kuwa Bwana amenitendea makuu, Jina lake Ni takatigu,
2(b). Huruma yake kwa Ware wenye kumcha, Hudumu kizazi hata kizazi.
3(a). Amewashusha wenye nguvu, akawanyeshea kweza wanyenye kevu,
3(b). Wenye njaa amewashibisha mema, Matajiri amewaacha watupu.