Ingia / Jisajili

Akawanyeshea Mana

Mtunzi: Ernest Magunus
> Mfahamu Zaidi Ernest Magunus
> Tazama Nyimbo nyingine za Ernest Magunus

Makundi Nyimbo: Zaburi | Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 800 | Umetazamwa mara 3,742

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Akawanyeshea mana iliwale akawanyeshea mana iliwale ×2

MASHAILI:

  1. Mambo tuliyoyasikia nakuyafahamu, Ambayo baba zetu walituambia.
  2. Hukutukiwaa mbia kizazi kingine, Sifa za Bwana na nguvu sake.
  3. Lakini aliyaa murumawingu juu, Akaifungua milango ya mbinguni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa