Mtunzi: Rigobert Mgomela
> Tazama Nyimbo nyingine za Rigobert Mgomela
Makundi Nyimbo: Noeli | Zaburi
Umepakiwa na: RIGOBERT MGOMELA
Umepakuliwa mara 610 | Umetazamwa mara 2,135
Download Nota Download MidiMataifa yote, ya ulimwengu, ya ulimwengu;
yatakusujudia we Bwana wewe Bwana.
1. Ee Mungu mpe Mfalme hukumu zako, na mwana wa mfalme haki yako.
2. Siku zake mtu mwenye haki atasitawi, nawingi wa amani hata mwezi utakapo koma.