Mtunzi: Rigobert Mgomela
> Tazama Nyimbo nyingine za Rigobert Mgomela
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Zaburi
Umepakiwa na: RIGOBERT MGOMELA
Umepakuliwa mara 875 | Umetazamwa mara 2,826
Download Nota Download MidiWastahili kusifiwa, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele yote,
nakutukuzwa mulele yote x 2
1. Umehimidiwa Bwana Mungu wa Baba zetu, Wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
2. Umehimidiwa Bwana katika anga la Mbinguni, wastahili kusifiwa na kutukuzwa milele.
3. Umehimidiwa juu ya kiti cha Ufalme wako, Wastahili kusufiwa na kutukuzwa milele.