Mtunzi: Rigobert Mgomela
> Tazama Nyimbo nyingine za Rigobert Mgomela
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: RIGOBERT MGOMELA
Umepakuliwa mara 402 | Umetazamwa mara 2,022
Download Nota Download MidiMa-tendo ya Bwana Matendo, Ni makuu ni makuu sana x 2
Yafikiriwa sana Matendo na- wapendezwao nayo x 2
1. Amefanya ukumbusho wa matendo yake ya ajabu, Bwana ni mwenye fadhiri na rehema.
2. Amewajurisha watu wake uwezo wa matendo yake kwa kuwapa urithi wa mataifa.
3.Mwatendo ya mikono yake ni kweli na hukumu maagizo yake yote ni amini.