Mtunzi: Rigobert Mgomela
> Tazama Nyimbo nyingine za Rigobert Mgomela
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: RIGOBERT MGOMELA
Umepakuliwa mara 884 | Umetazamwa mara 2,431
Download Nota Download MidiEnyi waumini kwa pamoja tukatoe sadaka kwa Bwana x 2
Kwa kutoa tunajiwekea hazina yetu mbinguni x 2
1.Tumtolee Bwana Mungu wetu sadaka safi ya kupendeza itokayo moyoni mwetu.
2. tumtolee Bwana Mungu wetu mazao bora ya kupendeza yatokayo shambani mwetu.