Ingia / Jisajili

Mawazo Ninayowawazia

Mtunzi: Emmanuel J. Kafumu
> Mfahamu Zaidi Emmanuel J. Kafumu
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel J. Kafumu

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Terence (Admin) Silonda

Umepakuliwa mara 1,302 | Umetazamwa mara 3,784

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana asema (mawazo) mawazo ninayowawazia ninyi ni mawazo ya amani wala si ya mabaya wala si ya mabaya x 2

  1. Nanyi mtaniita nami nitawasikiliza, mtakwenda kuniomba nami nitawasikiliza nami nitawasikiliza asema Bwana.
     
  2. Nanyi mtanitafuta, mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta nitafuta kwa moyo wote, mtakaponitafuta kwa moyo wote.
     
  3. Nami nitaonekana, nitaonekana kwenu, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya kati ya mataifa.

Maoni - Toa Maoni

mathias nestory Aug 09, 2016
Ninzuli

mathias nestory Aug 09, 2016
Nyimbo zinamafundisho mazuri zinajenga kiroho

Toa Maoni yako hapa